Saturday, June 18, 2011

Mazzi mawanvu lyrics By Deepac Braxx (The hIntro: Most enemies, They fear whom they don’t know, And they hate whom they fear, That’s why they hate me, Mother uuh uuuu uh, Verse one Huu ni wajibu, Ambao sasa unatimia, Nanyesha mistari bila kuwapimia, Ma hater’s siwabagui nawapakulia pia, Mliduku kuamini enzi ile nilipowaambia, Msare kufuata upepo ndoto hamtaizuia, Nimetibitisha, nimeinspire, (wanaoniangalia), Wanaodhani nabaatisha (hiyo pepo naikemea), Nitaendelea kuchafua hadi mnivulie kofia, Niakikisha machangu doa wote wamekimya, Ndio waanze kujipendekeza kuwa wananizimia, Watakapoona nikikula na watoto wa ki sure, Nilipokuwa hussler hakuna (aliyeniangalia), Sasa mambo shwari mnapigania kunisalimia, Kila street ninayopita hi mnanipatia, Hata mlionichukia mnakiri mnanizimia, Ah sodatia, Nashindwa kuwahurumia, Mungu usiyemwona jina lake unalisifia, Mi nayeishi na wewe adhalani unanichukia, Mapenzi yameginda sumu utu umedisappear, So mimba zenye chuki arbotion nazifanyia…. Chorus*2 Sasa nisikize, Ninavyo chafu), Heavyweight niko gado oh tena bado, Na nishanyakua taji la mazzi mawanvu. Verse two. Mi ni msanii bora, Ndio maana napepea, Sitaogopa kufa time yangu ikiwadia, Ila kusubiri nife utachoka kungojea, Jipatieni shughuli ju sio wewe utaniua, Kwa sasa niko bize mipini kuwaangushia, Ndio maana sionekani hata hood mi huipitia, Najua mnanimiss washikaji mnaonijua, Sijajitenga nanyi (jinsi mnafikiria), Ni vile naenda race na mahangahiko ya dunia, I am still down to earth na zaidi nanyenyekea, Nilipokuwa nothing ni nyinyi mlininua, Na hapa nimepafika kwa vile mnanizimia, Nyinyi ndio mimi sina cha kuringia, Ndio maana sitapenda kufa bila nyinyi kujua, Yatakapokuwa yamekwisha, --------yangu ya dunia---------, Hata nikiwachia machungu mjaribu kuvumilia, Hadi mfike mbinguni msahau ya dunia, Mpanguzwe machozi mfarijiwe makatulia, Basi kazeni nyoyo mapambano yanaendelea, Hadi mfikwe taji siku njema ikiwadia. Chorus*2 Sasa nisikize, Ninavyochafua, Heavyweight niko gado oh tena bado, Na nishanyakua taji la mazzi mawanvu Sasa nisikize, (Ah ah ah), Ninavyo chafua (Ooh ooi), Heavyweight niko gado oh tena bado, Na nishanyakua taji la mazzi mawanvu Verse three Namwomba mwenyezi Mungu, Aniepushie haya ma ulimwengu, Ama aniweke niishi duniani peke yangu, Ju wale ninaamini ni wanafiki kwangu, Napenda mikwanja elimu na kuwamegea, Nafanya mziki biashara sio madem kunizimia, Nakiri kwa ulimi wangu hakuna dem ataniringia, Unless ameolewa na mahali amemlipia, Anaishi na bwana yake na mtoto amemzalia, Ni wazi kuwa huyo, (Hakuna mahali nitamchukua), Ila kama unatamarc unasaka wa kukukatia, Hata uwe nurse, (Usitukane mwanaume), Ndio uke wako uheshimiwe utatibitishwa na mwanaume, Nahurumia ma haters wangu wanaovuta bhangi, Ndio washindane na mimi nawachukia nawadharau, Sasa wamechanganyikiwa on how to be cool, En how to be fools (ooh wee), Bado nawanyeshea lyrically, Nawachafua physically, Financially…. Musically, Pia nawafunika academically. Chorus *2 Outro: Yes, Hekima inashinda elimu, Chali mjinga ni kibaraka cha dem, Pumbafu anatumia simu ya dem, Kutusi mwanaume mwingine, Kesho atambia mwingine akutusi pia, Usishinde kuwa kondoo maishani bwana, Style up men.ip hop heavyweight)

 Mazzi Mawanvu

Intro:
         Most enemies,
         They fear whom they don’t know,
         And they hate whom they fear,
         That’s why they hate me,
         Mother uuh uuuu uh,

Verse one

Huu ni wajibu,
Ambao sasa unatimia,
Nanyesha mistari bila kuwapimia,
Ma hater’s siwabagui nawapakulia pia,
Mliduku kuamini enzi ile nilipowaambia,
Msare kufuata upepo ndoto hamtaizuia,
Nimetibitisha, nimeinspire, (wanaoniangalia),
Wanaodhani nabaatisha (hiyo pepo naikemea),
Nitaendelea kuchafua hadi mnivulie kofia,
Niakikisha machangu doa wote wamekimya,
Ndio waanze kujipendekeza kuwa wananizimia,
Watakapoona nikikula na watoto wa ki sure,
Nilipokuwa hussler hakuna (aliyeniangalia),
Sasa mambo shwari mnapigania kunisalimia,
Kila street ninayopita hi mnanipatia,
Hata mlionichukia mnakiri mnanizimia,
Ah sodatia, Nashindwa kuwahurumia,
Mungu usiyemwona jina lake unalisifia,
Mi nayeishi na wewe adhalani unanichukia,
Mapenzi yameginda sumu utu umedisappear,
So mimba zenye chuki arbotion nazifanyia….

 

Chorus*2


Sasa nisikize,
Ninavyo chafu),
Heavyweight niko gado oh tena bado,
Na nishanyakua taji la mazzi mawanvu.


Verse two.

Mi ni msanii bora,
Ndio maana napepea,
Sitaogopa kufa time yangu ikiwadia,
Ila kusubiri nife utachoka kungojea,
Jipatieni shughuli ju sio wewe utaniua,
Kwa sasa niko bize mipini kuwaangushia,
Ndio maana sionekani hata hood mi huipitia,
Najua mnanimiss washikaji mnaonijua,
Sijajitenga nanyi (jinsi mnafikiria),
Ni vile naenda race na mahangahiko ya dunia,
I am still down to earth na zaidi nanyenyekea,
Nilipokuwa nothing ni nyinyi mlininua,
Na hapa nimepafika kwa vile mnanizimia,
Nyinyi ndio mimi sina cha kuringia,
Ndio maana sitapenda kufa bila nyinyi kujua,
Yatakapokuwa yamekwisha,
--------yangu ya dunia---------,
Hata nikiwachia machungu mjaribu kuvumilia,
Hadi mfike mbinguni msahau ya dunia,
Mpanguzwe machozi mfarijiwe makatulia,
Basi kazeni nyoyo mapambano yanaendelea,
Hadi mfikwe taji siku njema ikiwadia.


Chorus*2

Sasa nisikize,
Ninavyochafua,
Heavyweight niko gado oh tena bado,
Na nishanyakua taji la mazzi mawanvu

 

Sasa nisikize, (Ah ah ah),
Ninavyo chafua (Ooh ooi),
Heavyweight niko gado oh tena bado,
Na nishanyakua taji la mazzi mawanvu


Verse three


Namwomba mwenyezi Mungu,
Aniepushie haya ma ulimwengu,
Ama aniweke niishi duniani peke yangu,
Ju wale ninaamini ni wanafiki kwangu,
Napenda mikwanja elimu na kuwamegea,
Nafanya mziki biashara sio madem kunizimia,
Nakiri kwa ulimi wangu hakuna dem ataniringia,
Unless ameolewa na mahali amemlipia,
Anaishi na bwana yake na mtoto amemzalia,
Ni wazi kuwa huyo,
(Hakuna mahali nitamchukua),
Ila kama unatamarc unasaka wa kukukatia,
Hata uwe nurse, (Usitukane mwanaume),
Ndio uke wako uheshimiwe utatibitishwa na mwanaume,
Nahurumia ma haters wangu wanaovuta bhangi,
Ndio washindane na mimi nawachukia nawadharau,
Sasa wamechanganyikiwa on how to be cool,
En how to be fools (ooh wee),
Bado nawanyeshea lyrically,
Nawachafua physically,
Financially…. Musically,
Pia nawafunika academically.

Chorus *2

Outro:
           Yes,
          Hekima inashinda elimu,
          Chali mjinga ni kibaraka cha dem,
          Pumbafu anatumia simu ya dem,
          Kutusi mwanaume mwingine,
          Kesho atambia mwingine akutusi pia,
          Usishinde kuwa kondoo maishani bwana,
          Style up men.

No comments:

Post a Comment