Nilikuzimia toka ndani moyoni,
Ulipoamua
kuniacha ilinichoma moyoni,
Nilijaribu
kukuzuia haikukuingia akilini,
Nilishindwa
nifanyeje sikujua nilikosea nini,
Napita
mtaani nna mawazo tele kichwani,
Niliugua
ugonjwa wa moyo nikalazwa hospitalini,
Washikaji
waliponiuliza shemeji hajambo nyumbani,
Nilikimya
kwa kushindwa kuwa nitawajibu nini,
Kuwaambia
tumeachana ningewapa sababu gani,
Bila hata
kusema kitu wee uliondoka kama
utani,
Ukaniacha
penzini ghafla nikazama gizani,
Mtu mzima
mpaka sasa hujaniambia ni kwa nini,
Nami
sikutaka kuamini na kufuata mambo ya watu,
Kuwa
wazazi wako future yangu hawakuona kitu,
Ndio
maana walikuchukua uolewe na Waitutu,
Naye
Jimmy alikusumbua zaidi ya miaka tatu,
Kuhanya
nje na kukuchapa kwake ilikuwa kawaida tu,
Hadi sasa
hujaolewa wewe bado uko tu,
Sasa
unataka turudiane kuwa nimekuwa mtu,
Ila
hatutarudisha wakati nyuma,
Ah
sorry.
Chorus *2
Haiwezekani,
sisi turudiane,
Baada ya kunitema,
sababu ya umaskini
Verse two
Sijuti
nilikozaliwa ila ninashukuru wima,
Story ya
maisha yangu nilikueleza mapema,
Sio eti
nilipenda kutoendelea kusoma,
Babangu
alipofariki linibidi kumtunza mama,
Pia
kuhakikisha wadogo zangu wanasoma,
Umaskini
ulinipa jukumu nami nikalisukuma,
Wazazi
wako waliokushauri ukanihepa kama ukoma,
Sitawaelekezea
lawama kwa kukutakia mema,
Babangu
alinifunza kutazama mbele daima,
Bado moto
ni ule ule hakuna kuuzima,
Sasa
hakuna noma maisha yangu yamesimama,
Nilipokuwa
rosto kwangu uliona noma,
Mambo juu
ya msitari kunirudia unaona wema,
Sipendi
marafiki wanafiki wanaojitakia
wema,
Haukupanda
unakotaka kuvuna hata unajilawama,
Mamangu
hakuzaa fala sina elimu nina hekima,
Nasema na
moyo wangu yale ninayo tazama,
Aliyenivumilia
kwa kila hali akitabasamu inakuuma,
Nilipokuwa
chini alinishikilia hadi nikasimama,
Wee
unapenda mikwanja ndio maana mafukara unawatema.
Chorus*2
Verse Three
Kila
ndoto nilikuwa nayo ghafla iligonga mwamba,
Maisha
yangu ya mbele nikamwachia Muumba,
Ila lengo
la kuwa heavyweight daima halikuyumba,
Umefanya
sasa nashuku madem ninaokutana nao,
Iwe ni
ana kwa ana ama mtandao,
Kile
nimefocus ni hizo mikwanja
Zao,
Nawapokonya
ubikira kisha naachana nao,
Sidhani
kama ni mapenzi yanawasha roho zao,
Lazima
nikae rada kwa kunoa kiboko chao,
Sitembei
na wallet ndio ujue mi ni mrui,
Hata
waarab ninawavua bui bui,
Bora ni
over 18 ninawanyorosha ndui,
Nashughulisha
Mr. John kucheza ligi ya chini,
Baada ya
kuchovya utamu nadisappear hewani,
Sijigambi
ninapofinya ju sina alama kibajini