Naamini nilikuzimia toka ndani moyoni,
Ulipoamua kuniacha ilinichoma moyoni,
Nilijaribu kukuzuia haikukuingia akilini,
Nilishindwa nifanyeje sikujua nilikosea nini,
Napita mtaani nna mawazo tele kichwani,
Niliugua ugonjwa wa moyo nikalazwa hospitalini,
Washikaji waliponiuliza shemeji hajambo nyumbani,
Nilikimya kwa kushindwa kuwa nitawajibu nini,
Kuwaambia tumeachana ningewapa sababu gani,
Bila hata kusema kitu wee uliondoka kama utani,
Ukaniacha penzini ghafla nikazama gizani,
Mtu mzima mpaka sasa hujaniambia ni kwa nini,
Nami sikutaka kuamini na kufuata mambo ya watu,
Kuwa wazazi wako future yangu hawakuona kitu,
Ndio maana walikuchukua uolewe na Jimmy Gathu,
Naye Jimmy alikusumbua zaidi ya miaka tatu,
Kuhanya nje na kukuchapa kwake ilikuwa kawaida tu,
Hadi sasa hujaolewa wewe bado uko tu,
Sasa unataka turudiane kuwa nimekuwa mtu,
Ila hatutarudisha wakati nyuma,
Ah sorry.
Sijuti nilikozaliwa ila ninashukuru wima,
Story ya maisha yangu nilikueleza mapema,
Sio eti nilipenda kutoendelea kusoma,
Babangu alipofariki linibidi kumtunza mama,
Pia kuhakikisha wadogo zangu wanasoma,
Umaskini ulinipa jukumu nami nikalisukuma,
Wazazi wako waliokushauri ukanihepa kama ukoma,
Sitawaelekezea lawama kwa kukutakia mema,
Babangu alinifunza kutazama mbele daima,
Bado moto ni ule ule hakuna kuuzima,
Sasa hakuna noma maisha yangu yamesimama,
Nilipokuwa rosto kwangu uliona noma,
Mambo juu ya msitari kunirudia unaona wema,
Sipendi marafiki wanafiki
wanaojitakia wema,
Haukupanda unakotaka kuvuna hata unajilawama,
Mamangu hakuzaa fala sina elimu nina hekima,
Nasema na moyo wangu yale ninayo tazama,
Aliyenivumilia kwa kila hali akitabasamu inakuuma,
Nilipokuwa chini alinishikilia hadi nikasimama,
Wee unapenda mikwanja ndio maana mafukara unawatema.
Chorus*2
Sikutaka
tuachane,
Ila watu
wenye fitina,
Walileta
majungu, sisi tukatengana…
Kila ndoto nilikuwa nayo ghafla iligonga mwamba,
Maisha yangu ya mbele nikamwachia Muumba,
Ila lengo la kuwa heavyweight daima halikuyumba,
Umefanya sasa nashuku madem ninaokutana nao,
Iwe ni ana kwa ana ama mtandao,
Kile nimefocus ni hizo
mikwanja Zao,
Nawapokonya ubikira kisha naachana nao,
Sidhani kama ni mapenzi yanawasha roho zao,
Lazima nikae rada kwa kunoa kiboko chao,
Sitembei na wallet ndio ujue mi ni mrui,
Hata waarab ninawavua bui bui,
Bora ni over 18 ninawanyorosha ndui,
Nashughulisha Mr. John kucheza ligi ya chini,
Baada ya kuchovya utamu nadisappear hewani,
Sijigambi ninapofinya ju sina alama kibajini,
Niliangukiwa jana nikajifunza kuwa makini,
Kesho haitabiriki nitakuwa juu uwe chini,
Nahidi kabla nife tena nitakwangushia mpini,
Na lako nitalitoa sadaka to Mr. Rain man,
Kabla kuzeeka in the next world order.
No comments:
Post a Comment